Vol 2, No 2 (2023) : Nuru ya Kiswahili
Mtazamo kuhusu Wakati katika Falsafa ya Kiafrika: Mifano kutoka Riwaya Teule za Kiswahili
Waafrika kama zilivyo jamii nyinginezo duniani wana falsafa inayoongoza maisha yao. Katika uga wa fasihi, wataalamu mbalimbali wametafiti na...
Ufundishaji wa Kiswahili kama Lugha ya Pili kupitia Fasihi
Elimu ya Rwanda inakabiliwa na changamoto ya kikwazo cha lugha, hasa lugha ya kufundishia. Walimu wanasema kuwa mara nyingi wanafunzi hushindwa...
Ruwaza ya Vitenzi vya Kibantu katika Muktadha wa Vitenzi vya Kiswahili
Makala hii inahusu ruwaza ya vitenzi vya Kibantu katika muktadha wa vitenzi vya Kiswahili. Lengo la makala hii ni kuonesha utokeaji wa viambishi...
Sifa za Hofu katika Maisha ya Mwanadamu
Kila mwanadamu mwenye uwezo wa kufikiri na kutafakari juu ya masuala mbalimbali yanayomzunguka huonesha hisia zinazoambatana na hali fulani...