Issues
Articles and Issues
No advance publications available
Mdhihiriko wa Anthroposenia katika Riwaya za Bustani ya Edeni na Vipuli vya Figo: Misukumo ya Tamaa na Ulofa
Makala hii inahusu uchanganuzi wa namna anthroposenia inavyodhihirika katika riwaya mbili za Emmanuel Mbogo, Bustani ya Edeni na...
Tathmini ya Nafasi ya Fasihi Andishi katika Ukuzaji wa Stadi za Mawasiliano
Makala hii inajadili nafasi ya fasihi andishi katika ukuzaji wa stadi za mawasiliano katika shule za sekondari teule wilayani Nyanza nchini...
Upokezi wa Istilahi za BAKITA katika Somo la Sayansi na Teknolojia kwa Watumiaji: Mifano kutoka Darasa la VI
Makala hii inahusu upokezi wa istilahi za BAKITA katika somo la Sayansi na Teknolojia kwa watumiaji. Lengo ni kufafanua sababu za kupokelewa na...
Mawanda na Mazingira ya Utokeaji wa Kirai Kihusishi katika Sentensi za Kiswahili
Utambuzi na ubainishaji wa kirai kihusishi katika sentensi za Kiswahili unaibua mgogoro wa kimtazamo, miongoni mwa wanasarufi wa lugha hii,...
Changamoto za Ubidhaishaji wa Kiswahili kwa Wahitimu wa Shahada za Sanaa katika Kiswahili Nchini Tanzania
Kiswahili ni miongoni mwa lugha kubwa zenye wazungumzaji wengi barani Afrika na hata nje ya bara la Afrika (Kishe, 2017). Nchini Tanzania,...