Vol 2, No 1 (2023) : Nuru ya Kiswahili
Upungufu wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara katika Wema Hawajazaliwa na Shetani Msalabani
Tafsiri ni miongoni mwa taaluma zinazosaidia kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watumiaji wa lugha tofauti. Taaluma hii imekuwa ikinufaisha...
Utendeza Unavyoathiri Urefu wa Irabu katika Kiswahili Sanifu
Makala hii inachunguza namna viambishi tamati vya utendeza, {-z-, -ez-, -iz-}, vinavyoathiri urefu wa irabu za neno pindi vinapoambatishwa...
Sababu Zinazoukilia Matumizi ya Tungo za Utendeka na Utendwa katika Lugha ya Kiswahili
Makala hii imechunguza tungo za utendeka na utendwa katika lugha ya Kiswahili. Hii ni kwa sababu, yapo madai miongoni mwa wanaisimu mbalimbali...
Msukumo wa Uwasilishaji wa Hisia za Watoto Kupitia Maigizo ya Utotoni
Makala hii inaeleza msukumo wa uwasilishaji wa hisia za watoto kupitia maigizo ya utotoni. Msukumo wa uwasilishaji wa hisia hizo haujawekwa...
Linguistic Difficulties of Using English as a Language of Instruction
This paper investigates the linguistic difficulties faced by the University lecturers who teach science subjects using EMI in Tanzanian...