Vol 1, No 1 (2022)
Uzalishaji wa Tafsiri Sadifu katika Matini za Majukwaa ya Kidijiti
Makala hii inaangazia harakati na changamoto katika kuzalisha tafsiri sadifu katika majukwaa ya kijiditi. Makala inaangazia matini...
Thamani ya Mawasiliano katika Ufyosi wa Jumbe za WhatsApp
Makala hii inafafanua thamani ya kimawasiliano inayopatikana katika ufyosi wa kimaandishi. Hoja kuu ya makala ni kudhihirisha kuwa, licha ya...
Ninaelewa, kwa hiyo, Ninaamua na Kuchagua
Makala inachambua dhana ya demokrasia, lugha ya Kiswahili, na maendeleo ya wananchi. Inaangalia demokrasia inavyoweza kujengwa na lugha; na...
Mchango wa Fonolojia katika Kuuelewa Ushairi Andishi wa Kiswahili
Wataalamu mbalimbali wanabainisha kuwa kueleweka kwa ushairi kunategemea sana kuielewa fani kwa kuwa ndio nyenzo iwasilishayo maudhui. Kwa...
Utenzi wa Mwana Kupona
Utenzi wa Mwana Kupona umevuta nadhari kubwa kwa wasomaji na wahakiki wengi wa kazi za fasihi. Tafiti nyingi zimefanywa kuhusu utenzi...
Nafasi ya Vipindi vya Redio katika Kukuza Fasihi Simulizi ya Watoto
Makala hii inajadili mchango wa vipindi vya redio katika kukuza Fasihi Simulizi ya Kiswahili kwa Watoto. Makala hii ni matokeo ya utafiti...
Kutungamana kwa Itikadi na Propaganda katika Matini za Kifasihi
Itikadi na propaganda ni dhana ambazo zimetungamana kila zinapojitokeza katika matini za kifasihi. Licha ya wataalamu mbalimbali kuonesha kuwa...
The Language Question and the Choice of Africa’s Lingua Franca
The thrust of this paper is that knowledge is power, and its issuance through another people’s languages in which foreign cultural values and...