Vol 5, No 1 (2026) : Nuru ya Kiswahili
Mikakati ya Ushawishi wa Kisiasa katika Hotuba za Mgombea wa Kenya Kwanza 2022 Nchini Kenya
Katika juhudi za kupata uungwaji mkono wa kisiasa, wagombea wa nyadhifa mbalimbali hutumia lugha yenye uwezo wa kuathiri fikra na hisia za...
Phonological Adaptation of the Swahili Loanwords in the Ndali Language
This paper highlights phonological adaptation processes of the Swahili loanwords in the Ndali language. The study was conducted in Ileje...
Mikakati ya Kukabiliana na Changamoto za Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Pili katika Shule za Upili nchini Rwanda:
Makala inajadili mikakati inayotumiwa na walimu na wanafunzi katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili katika shule teule...
Changamoto za Uandishi wa Miswada ya Filamu za Kiswahili Nchini Tanzania
Makala hii inajadili changamoto za uandishi wa miswada ya filamu za Kiswahili nchini Tanzania. Msukumo wa utafiti wa makala ulichangizwa na...
Uchambuzi wa Ukiushi wa Kisintaksia katika Tamthiliya ya Mashetani
Makala hii inafafanua dhana ya ukiushi wa kisintaksia katika tamthiliya ya Mashetani (1971) ya Ebrahim Hussein kama kisa mahsusi cha...
Literary Construction of Subaltern Childhoods in Urban Tanzania: Vulnerability and Survival in Mbogo’s Watoto wa Maman’tilie
This paper examines the construction of subaltern childhoods in Emmanuel Mbogo’s Watoto wa Maman’tilie , focusing on marginalized...
Usawiri wa Utandawazi katika Riwaya za Kisasa za Kiswahili: Mifano kutoka Babu Alipofufuka (2001) na Makuadi wa Soko Huria (2002)
Makala hii inalenga kubainisha vipengele mbalimbali vya utandawazi vinavyojitokeza katika riwaya za kisasa za Kiswahili. Riwaya teule...