Vol 1, No 2 (2022) : Nuru ya Kiswahili
Uhawilishaji wa Fonimu za Kihehe na Athari zake katika Ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili
Makala hii imechunguza uhawilishaji wa fonimu za Kihehe na athari zake katika ujifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama lugha ya pili (L2). Data za...
Uchapishaji na Usambazaji wa Istilahi za Sayansi Nchini Tanzania: Mifano kutoka Istilahi za Kiswahili za Biolojia, Fizikia na Kemia
Lengo la makala hii ni kubainisha na kujadili kwa utondoti upungufu na athari za uchapishaji na usambazaji wa IS katika Kiswahili. Data...
Dhima za Kialami Pragmatiki ‘mh’ katika Mazungumzo ya Kiswahili
Makala hii inachunguza dhima za kialami pragmatiki mh katika mazungumzo ya Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa kutoka katika...
Ufafanuzi Linganishi wa Kimofolojia katika Mizizi ya Vitenzi vya Kiswahili vyenye Asili ya Kiarabu na vile vya Kiswahili Asilia
Makala hii inahusu ufafanuzi linganishi wa kimofolojia katika mizizi ya vitenzi vya Kiswahili vyenye asili ya Kiarabu na vile vya Kiswahili...
Fokasi: Misingi ya Uainishaji, Mbinu za Ung’amuzi na Mikakati ya Usimbaji katika Sentensi za Kiswahili
Fokasi ni mojawapo ya kiambajengo cha kipragmatiki katika lugha ya Kiswahili. Uainishaji wa fokasi, mbinu za ung’amuzi wa fokasi na mikakati na...
Makosa ya Lugha katika Vyombo vya Habari Nchini Tanzania: Uchunguzi wa Televisheni
Makala hii inalenga kuchanganua makosa ya lugha kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania na kubainisha mbinu za kutatua makosa hayo. Data...
Utumizi wa Mbinu za Fasihi Simulizi katika Nyimbo za Injili: Mfano kutoka Wimbo wa Bahati Bukuku Uitwao “Kampeni”
Makala hii imeangalia kwa kina utumizi wa mbinu za fasihi simulizi ya Kiswahili katika nyimbo za injili kwa kutumia wimbo uitwao ‘Kampeni’ wa...
Miktadha ya Matumizi ya U-Nigeria katika Video za Nyimbo za Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania
Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya wa Kiswahili nchini Tanzania imetekwa na utamaduni wa nje, hususani wa Kinigeria. Hali hii ikiendelea itapoteza...
Utendaji katika Vichekesho Vinavyowasilishwa kwa Njia ya Elektroniki: Uchunguzi wa Vichekesho vya Ze Orijino Komedi
Makala hii imelenga kujadili mbinu za kiutendaji katika vichekesho vinavyowasilishwa kielektroniki. Uchunguzi huu ulichochewa na mgongano wa...
Writing and Publishing Children’s Literature in Other Local Languages in Tanzania: Prospects and Challenges
This article examines the prospects and challenges of writing and publishing in other local languages spoken in Tanzania. It is argued in this...
Utendaji wa Wahusika wa Fasihi ya Watoto ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Safari ya Prospa
-