Issues
Articles and Issues
No advance publications available
Toni Inavyoathiri Urefu wa Irabu za Viambishi-Awali vya Nomino za Kiswahili
Makala hii inachunguza kwa nini baadhi ya nomino za Kiswahili zina viambishi-awali vyenye irabu ndefu ilhali viambishi-awali hivyohivyo...
Uchambuzi wa Matumizi ya Usimulizi kama Mbinu ya Kisanaa katika Vibonzo Jongevu vya Watoto
Makala hii inajadili mbinu mbalimbali za usimulizi zinazotumika katika vibonzo jongevu na sababu za kutumika kwake. Makala inabainisha kuwa...
Examining the Polarity and Convergence of Transcultural Encounters in Gurnah’s Admiring Silence
Guided by the post-colonial theory, this study focused on Abdulrazak Gurnah, the Tanzanian novelist’s Admiring Silence (1996). It...
Tathmini ya Tafsiri ya Majina ya Pekee ya Watu kutoka Kiswahili kwenda Gᴉrᴉmi: Mifano kutoka Agano Jipya
Tafsiri ni muhimu sana kwa sababu inaunganisha watu wanaozungumza lugha tofauti. Majina ya pekee ya watu ni kipengele muhimu pia cha...
Mdhihiriko wa Kilongo cha Wanawake katika Jukwaa la Instagramu: Je, ni Mikakati ya Kujikomboa?
Makala hii inabainisha namna kilongo cha wanawake katika jukwaa la Instagramu kinavyotumika kimkakati kuhamasisha wanawake kujikwamua kiuchumi,...